Nawatakia Kwaresma yenye baraka. Chukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko yanayoambukiza

Wewe ndio mpumbavu changamoto iliyopo ni Covid 19.

Corona ni mafua na iko miaka yote usiwe mbwiga meku!
 
Ndugu zangu tulizenini jaziba uzi huu umeletwa kuelekeza sala na toba
 
Umetutahadharisha tuvae barakoa na kunawa mikono lakini ukasahau jambo kuu kupiga maombi, ndugu yangu imani yako umeiacha wapi
 
Ndugu zangu tulizenini jaziba uzi huu umeletwa kuelekeza sala na toba
Mungu hawezi kusikiliza sala za Taifa la wanafiki wanaotaka kutatua shida zao kwa kujidanganya kuwa hazipo.Mungu hawezi kusikiliza shida za Taifa ambalo viongozi wake wanaingia madarakani kwa wizi wa kura.Mungu hawezi kusikiliza sala za Taifa ambalo viongozi wake wamelala fofofo ikulu wakati taifa linaangamia kwa Corona kwa sababu Mungu halipi maombi bali hulipa jitihada.Hawezi,never!Forget about it folks!
 

Shukrani Mtumishi Bwasheee!!
 
AMINA.
 
hakuna corona by ......................
 
mambo ya warumi haya na siyo ya kikristo
Tuwaachie wenyewe
 
Kuna jitu litatokea kwenye public likiwa limejipaka majivu unaweza kudhani limetubu kweli kumbe lengo ni ku hadaa umma wa watanzania.
 
Unaelewa maana ya Kwaresma lakini?!
Umelewa swali langu lakini, mimi ni ex mseminari kwahiyo naelewa kuliko ulivyonihoji, swali langu lilikua ni kujiaminisha na barakoa pekee ila pia ni kumtanguliza Mungu hii corona sio ya mchezo mchezo tunahitaji pia kujiimarisha kiimani pia kutunusuru na maradhi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…