wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio mpumbavu changamoto iliyopo ni Covid 19.Acha upumbavu!Kwa sasa hivi changamoto kubwa tuliyo nayo ni huu ugonjwa wa Corona ambao unaua kila kukicha na tunapaswa kuelekeza nguvu zetu nyingi huko.Unataka tuelekeze nguvu nyingi kwenye kipindupindu amacho hakipo wakati Corona inaangamiza Taifa kwa sasa?Unafikiri kwa akili za wapi?Unafikiri kuwa tutaishinda Corona kwa kujidanganya kuwa haipo?Kwa nini mnakuwa na akili ndogo kama watoto wadogo waliovaa pampasi?
Ndugu zangu tulizenini jaziba uzi huu umeletwa kuelekeza sala na tobaAcha upumbavu!Kwa sasa hivi changamoto kubwa tuliyo nayo ni huu ugonjwa wa Corona ambao unaua kila kukicha na tunapaswa kuelekeza nguvu zetu nyingi huko.Unataka tuelekeze nguvu nyingi kwenye kipindupindu amacho hakipo wakati Corona inaangamiza Taifa kwa sasa?Unafikiri kwa kutumia akili za wapi?Unafikiri kuwa tutaishinda Corona kwa kujidanganya kuwa haipo?Kwa nini mnakuwa na akili ndogo kama watoto wadogo waliovaa pampasi?
Amina!
Umetutahadharisha tuvae barakoa na kunawa mikono lakini ukasahau jambo kuu kupiga maombi, ndugu yangu imani yako umeiacha wapiMungu ni mwema na leo ni Jumatano ya majivu tukiuanza rasmi mfungo wa Kwaresma sisi tuliokombolewa kwa damu ya Yesu.
Nawatakia nyote msimu mwema wa Kwaresma na mfungo wenye baraka kwa wote wenye mapenzi mema.
Vaa barakoa, Nawa mikono mara kwa mara na Epuka misongamano.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Maendeleo hayana vyama.
Nini hiki umeandika sasa?!Wewe ndio mpumbavu changamoto iliyopo ni Covid 19.
Corona ni mafua na iko miaka yote usiwe mbwiga meku!
Unaelewa maana ya Kwaresma lakini?!Umetutahadharisha tuvae barakoa na kunawa mikono lakini ukasahau jambo kuu kupiga maombi, ndugu yangu imani yako umeiacha wapi
Mungu hawezi kusikiliza sala za Taifa la wanafiki wanaotaka kutatua shida zao kwa kujidanganya kuwa hazipo.Mungu hawezi kusikiliza shida za Taifa ambalo viongozi wake wanaingia madarakani kwa wizi wa kura.Mungu hawezi kusikiliza sala za Taifa ambalo viongozi wake wamelala fofofo ikulu wakati taifa linaangamia kwa Corona kwa sababu Mungu halipi maombi bali hulipa jitihada.Hawezi,never!Forget about it folks!Ndugu zangu tulizenini jaziba uzi huu umeletwa kuelekeza sala na toba
Mungu akubariki!Uharo mtupu ulioweka hapa
Mungu ni mwema na leo ni Jumatano ya majivu tukiuanza rasmi mfungo wa Kwaresma sisi tuliokombolewa kwa damu ya Yesu.
Nawatakia nyote msimu mwema wa Kwaresma na mfungo wenye baraka kwa wote wenye mapenzi mema.
Vaa barakoa, Nawa mikono mara kwa mara na Epuka misongamano.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Maendeleo hayana vyama.
Amina bwashee!Shukrani Mtumishi Bwasheee!!
AMINA.Mungu ni mwema na leo ni Jumatano ya majivu tukiuanza rasmi mfungo wa Kwaresma sisi tuliokombolewa kwa damu ya Yesu.
Nawatakia nyote msimu mwema wa Kwaresma na mfungo wenye baraka kwa wote wenye mapenzi mema.
Vaa barakoa, Nawa mikono mara kwa mara na Epuka misongamano.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Maendeleo hayana vyama.
hakuna corona by ......................Mungu ni mwema na leo ni Jumatano ya majivu tukiuanza rasmi mfungo wa Kwaresma sisi tuliokombolewa kwa damu ya Yesu.
Nawatakia nyote msimu mwema wa Kwaresma na mfungo wenye baraka kwa wote wenye mapenzi mema.
Vaa barakoa, Nawa mikono mara kwa mara na Epuka misongamano.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Maendeleo hayana vyama.
mambo ya warumi haya na siyo ya kikristoMungu ni mwema na leo ni Jumatano ya majivu tukiuanza rasmi mfungo wa Kwaresma sisi tuliokombolewa kwa damu ya Yesu.
Nawatakia nyote msimu mwema wa Kwaresma na mfungo wenye baraka kwa wote wenye mapenzi mema.
Vaa barakoa, Nawa mikono mara kwa mara na Epuka misongamano.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Maendeleo hayana vyama.
Umelewa swali langu lakini, mimi ni ex mseminari kwahiyo naelewa kuliko ulivyonihoji, swali langu lilikua ni kujiaminisha na barakoa pekee ila pia ni kumtanguliza Mungu hii corona sio ya mchezo mchezo tunahitaji pia kujiimarisha kiimani pia kutunusuru na maradhi hayaUnaelewa maana ya Kwaresma lakini?!