Nawatakia maandalizi mema ya pasaka

You are Missed here....!!
Pasaka Njema

Thanks Kimey for Easter wishes nami pia nakutakia vivyo hivyo.

Jamani binamu nakimbiza mia si unajua siku hizi imeota matairi, ha ha ha ha ha.

 
ni kweli Firstlady pamoja na kuwa ni kumbukumbu ,hatupaswi kuacha kuyaishi yaliyo mema na kwa Imani ufufuko wake uwe na maana kwetu.
Iwe ya Baraka tele sikukuu hii kwako mpendwa
 
sante MERRY
ubarikiwe dear..

nilipata kumunyo ya kwanza
pasaka miaka mingi iliyopita..
padri akanipa mvinyo kwenye kile kikombe..
sikujua kwamba natakiwa nionje..
mie nikaikunguta yote... watu wakawa
wanasherehekea nje mie niko njwiiii ndani nakoroma..


Kila pasaka ni ukumbusho wangu..
Mbarikiwe wote Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…