Nawatakia maandalizi mema ya pasaka

Nawatakia maandalizi mema ya pasaka

ni kweli Firstlady pamoja na kuwa ni kumbukumbu ,hatupaswi kuacha kuyaishi yaliyo mema na kwa Imani ufufuko wake uwe na maana kwetu.
Iwe ya Baraka tele sikukuu hii kwako mpendwa
 
sante MERRY
ubarikiwe dear..

nilipata kumunyo ya kwanza
pasaka miaka mingi iliyopita..
padri akanipa mvinyo kwenye kile kikombe..
sikujua kwamba natakiwa nionje..
mie nikaikunguta yote... watu wakawa
wanasherehekea nje mie niko njwiiii ndani nakoroma..


Kila pasaka ni ukumbusho wangu..
Mbarikiwe wote Amen
 
Back
Top Bottom