figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mungu awabariki muliomo ndani ya ndoa
Ha2jakunyima Kamanda wetu! Nawe karibu sana uone faida na hasara yake! Lakini nategemea utaona faida zaidi! Welcome Best!
kumbe wa ndani ya ndoa?
Acha ubaguzi bana. wengine wanaishi kwenye ndoa, lakini huwezi ita ndoa, mana tumewekana tu ndani sio ya ndoa ya dini wala ya jadi/kimila wala ya serikali.
hamna tatizo mkuu.hata wewe nakutakia maaisha mareefu yenye furaha.ngoja nikueditie mkuu.mia
ningekuona wa maana kama ungeweka picha yako....
aaaiisee!! Me like....
Mi sioni ndoa hapo,
dada katia gagulo la kulalia,
jamaa ndo karudi kutoka night club katia manguo yale yale aliyoshindia,
hivi kweli kuna ndoa hapa, naomba jibu.
Ooops..ni muda wa kazi huu AshaDii, hii mambo ilete jioni bana!Mie picha nilopata ni hii...
Dada kategea mida ambayo Mupenzi anarudi (Unaona shati ni ya kazi sio ya clubbing) kaanda kila kitu i.e chakula mezani, kenda kuoga na kuvaa gagulo lenye mitego (yawezekana alikua horny akaona afanye kwa vitendo); akijua fika akili ya jamaa kua hataweza resist. Well baada ya jamaa kumuona (nina wasi wasi hata kama chakula kimelika) wamevamiana na kufanya aggressive exciting sex (hapa hata nguo sometimes kutoa si muhimu) baada ya kumaliza ghafla wamejikuta hawana energy... Hivo hapo binti karidhika kiusingizi champitia, the guy akianza kutafakari jinsi gani anyanyuke.. after all ana njaa hajala bado....lol
Ooops..ni muda wa kazi huu AshaDii, hii mambo ilete jioni bana!
Mie picha nilopata ni hii...