Nawatakieni wote heri ya sikukuu za Noel (Christmas) na Mwaka Mpya

Nawatakieni wote heri ya sikukuu za Noel (Christmas) na Mwaka Mpya

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Habari za asubuhi wakuu,

Kwa niaba yangu mimi mwenyewe nawatakieni wote heri ya hizi sikukuu mbili kubwa christmas and newyear. Mungu awape yale mnayoyatamani na awafanyie wepesi katika magumu yenu.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom