Nawatikia heri ya mwaka mpya 2020

Nawatikia heri ya mwaka mpya 2020

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Najua mmenimiss kiasi kwa kuwa sijapost sana hasa hasa miezi ya mwisho wa mwaka 2019.
Napenda kuwaambia nawapenda sana wanajukwaa wenzangu.

Bado nipo Gado sana representing Team Magufuli kisayansi ...naamini mnanielewa sana moyoni ila huwa mnanipinga hadharani.

Bado nitaendelea kuwaletea vionjo vya utamu wa Serikali Konki ,Serikali dume,Serikali babalao ya Jembe John Pombe Joseph Magufuli.

RiP Faru Fausta but kiujumla Faru wanaongezeka chini ya usimamizi thabiti wa Rais Magufuli.

Nami pia nimefurahia kumuona pale Rubondo katika utalii wa ndani!!
Uchumi unakuwa kwa pace ilele
Iwajibikaji pia ni wa kasi kubwa zaidi.
2020 hakuna upinzani ni muendelezo wa utekelezaji tu.

Niwashukuru mods wote pia na nimshukuru tindo kwa kuniulizia kuhusu maendeleo ya viwanda...nimuase tu aendelee kunifuatilia nitakapomletea updates.

jingalao again in support of BABALAO 2020+

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
jingalao,

Ahaaa ahaaa, kwanza nashukuru kwa salamu ya mwaka mpya, hiyo taarifa ya viwanda ni ngumu hivyo mpaka ujipange zaidi ya miaka. Mjadala wetu wa mwanzo kuhusu viwanda ilikuwa februari 2016, leo januari 2020 bado hukawahi kuleta taarifa ya kueleweka ndio utaweza sasa? Kwenye hili la viwanda niko makini, hivyo ukileta hiyo taarifa ujipange haswa.
 
Uwe tayari kutuunga mkono maana 2020 hakuna issues za mabadiliko ya mikono
 
Back
Top Bottom