Nawauliza wakubwa tu...

Nawauliza wakubwa tu...

kuna hair removal moja ,inaitwa nair ni nzuri sana,unajipaka kidogo tu,baada ya dakika kama 5 unachukua kitambaa unakitia maji,unafuta hiyo sehemu.nywele zote za uwani zinatoka,mimi natumia sana tu kutoa hizo nywele.na hata kwenye kwapa,huna haja ya kutumia viwembe.kwapa linakuwa safi na smooth
Mh....!!!!!!!!!!!!.................???????????????
 
Wewe kweli ni KISUKARI

Mh....!!!!!!!!!!!!.................???????????????

SAME HERE
 
Mi ninavyofahamu hazifyekwi kwa sababu zinarefuka na ikifikia kiwango fulani hazirefuki tena,sio kama zile za barazani..
 
Mh!mbona ueleweki?kuwa wazi!!

anataka kukuta nyasi zote zinazozunguka geti la kuingilia ktk ofisi za TIGO express ursel,si hatari hiyo jamani,uoto mwingine wa asili unabidi ubakie'game reserve'.
 
kipenzi chao,wewe ni HE or SHE,kuna swali nataka kuuliza lkn napenda kujua kwanza jinsia yako.kama hutajali naomba uniambie.
 
kuna hair removal moja ,inaitwa nair ni nzuri sana,unajipaka kidogo tu,baada ya dakika kama 5 unachukua kitambaa unakitia maji,unafuta hiyo sehemu.nywele zote za uwani zinatoka,mimi natumia sana tu kutoa hizo nywele.na hata kwenye kwapa,huna haja ya kutumia viwembe.kwapa linakuwa safi na smooth
 
Sema member wa 2010 content yenu ilikua ya kiwango Cha chini mnoo.
 
Back
Top Bottom