Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya kushindwa .

Mohamed Dewji aliwahi kumiliki timu ya soka ambayo baadaye ilishuka daraja , hakuna aliyesahau hili , kama timu aliyoimilki kwa 100% iliporomoka , vipi hii 49% ? , kingine ni kwamba , huyu alikuwa mfadhili wa Singida United alipokuwa mbunge , kipi ilichofanikiwa timu ile , mbona ilishuka daraja na kupotea ? Shukrani kwa walioirejesha tena ligi kuu .

Kwenye mchakato wa kummilikisha hisa za Simba alishindanishwa na nani , yeye alipata kura ngapi na huyo mwengine alipata ngapi ? Tunauliza hivi ili baadaye msije kushikana mashati .

Majuto ni mjukuu .
 
Mkuu umoja ni nguvu tumuunge mkono na kumshauri hope tutafika mbali

Chinekeeee
 
Bora mwaya umewaza mbali kwa kuwauliza wana Simba wenzako vitu vya msingi kabisa ili siku yakiwakuta msitafute mchawi. Wakujibu sasa waache kukuzodoa.

Wale mliokuwa mnapiga mavuvuzela juzi njooni huku mjibu hoja za msingi.
 
Kwanza ukakiri wewe ni mwanasimba, mwisho unasema watu wasije shikana mashati! Bila shaka wewe umeshajitoa kuwa si mwanasimba. Tunashindwa kuendelea hasa kwasababu ya mawazo kama haya, michezo ni biashara, hivyo kama kuna vilabu vingine vyenye nia ya kukaribisha wawekezaji basi muda ndo huu, muhimu ni kufuata tararibu na serikali iliridhie.
 
2003 Kuna mkono wake kwani tulishirikiana sana kipindi kile dah
 
Kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya kushindwa .

Mohamed Dewji aliwahi kumiliki timu ya soka ambayo baadaye ilishuka daraja , hakuna aliyesahau hili , kama timu aliyoimilki kwa 100% iliporomoka , vipi hii 49% ? , kingine ni kwamba , huyu alikuwa mfadhili wa Singida United alipokuwa mbunge , kipi ilichofanikiwa timu ile , mbona ilishuka daraja na kupotea ? Shukrani kwa walioirejesha tena ligi kuu .

Kwenye mchakato wa kummilikisha hisa za Simba alishindanishwa na nani , yeye alipata kura ngapi na huyo mwengine alipata ngapi ? Tunauliza hivi ili baadaye msije kushikana mashati .

Majuto ni mjukuu .
Mo alipokuwa mdhamini wa Simba club ilifanya vzr kimataifa kumbuka 2003, ilo moja mbili unachopinga ww ni nn haswa? Kwan ata Mo asingeichukua Simba unahc Simba inge improve? Mboma miaka yote mambo ni yale yale tuu
 
Kwanza ukakiri wewe ni mwanasimba, mwisho unasema watu wasije shikana mashati! Bila shaka wewe umeshajitoa kuwa si mwanasimba. Tunashindwa kuendelea hasa kwasababu ya mawazo kama haya, michezo ni biashara, hivyo kama kuna vilabu vingine vyenye nia ya kukaribisha wawekezaji basi muda ndo huu, muhimu ni kufuata tararibu na serikali iliridhie.
Kwenye simba na yanga hakuna wawekezaji , kuna wawekezaji ambao ni lazima wawe ni washabiki ama wanachama wa timu hizo .
 
Mo alipokuwa mdhamini wa Simba club ilifanya vzr kimataifa kumbuka 2003, ilo moja mbili unachopinga ww ni nn haswa? Kwan ata Mo asingeichukua Simba unahc Simba inge improve? Mboma miaka yote mambo ni yale yale tuu
Sipingi , maana wengi wape , mimi nimeweka angalizo tu mkuu .
 
Kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya kushindwa .

Mohamed Dewji aliwahi kumiliki timu ya soka ambayo baadaye ilishuka daraja , hakuna aliyesahau hili , kama timu aliyoimilki kwa 100% iliporomoka , vipi hii 49% ? , kingine ni kwamba , huyu alikuwa mfadhili wa Singida United alipokuwa mbunge , kipi ilichofanikiwa timu ile , mbona ilishuka daraja na kupotea ? Shukrani kwa walioirejesha tena ligi kuu .

Kwenye mchakato wa kummilikisha hisa za Simba alishindanishwa na nani , yeye alipata kura ngapi na huyo mwengine alipata ngapi ? Tunauliza hivi ili baadaye msije kushikana mashati .

Majuto ni mjukuu .
Tatizo we ni ukawa,roho ya kupinga kila kitu bado ibakusumbua. Iko siku utapinga mpaka jina lako
 
Kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya kushindwa .

Mohamed Dewji aliwahi kumiliki timu ya soka ambayo baadaye ilishuka daraja , hakuna aliyesahau hili , kama timu aliyoimilki kwa 100% iliporomoka , vipi hii 49% ? , kingine ni kwamba , huyu alikuwa mfadhili wa Singida United alipokuwa mbunge , kipi ilichofanikiwa timu ile , mbona ilishuka daraja na kupotea ? Shukrani kwa walioirejesha tena ligi kuu .

Kwenye mchakato wa kummilikisha hisa za Simba alishindanishwa na nani , yeye alipata kura ngapi na huyo mwengine alipata ngapi ? Tunauliza hivi ili baadaye msije kushikana mashati .

Majuto ni mjukuu .
ALIKUWA ILA MWAKA ANAMWAGA HELA PALE MSIMBAZI VIONGOZI WANAPIGA TEN PERCENT TU NA WAKATI MWINGINE HATA WACHEZAJI HAWAPATI HIZO HELA.MWAKA JANA TU WAKATI WA USAJILI KAWAPA SIMBA BILIONI MOJA NA CHENJI LAKINI NINA UHAKIKA NI WACHEZAJI WACHACHE SANA WAMESAJILIWA KWA DAU TULIOTANGAZIWA WENGI WAMEPEWA KIPOOZEA NA VIONGOZI WAKAPIGA MPUNGA MWINGINE ULIOBAKI WA MO DEWJI.NA NDIO MAANA NI AFADHALI AWE KATI YA MWENYE HISA NA MSIMAMIZI WA TIMU ILI AWEZE KUSIMAMIMIA VIZURI HELA YAKE.WENGI WASWAHILI WA DAR WANAKULA KWASABABU ZA HELA ZA SIMBA NA YANGA.SASA TIMU ITAENDELEAJE AKIWA ANAMWAGA TU HELA KWA HAWA MCHWA BILA YA USIMAMIZI.NYIE WANAUME WENGI WA DAR KUANZIA MWAKANI MTAKOMA MIFEREJI YOTE ITABANWA.
 
Back
Top Bottom