Nawausia tu Gadiel Maiko na Ibrahim Ajib

Nawausia tu Gadiel Maiko na Ibrahim Ajib

goshaiwedi

Member
Joined
Feb 23, 2020
Posts
60
Reaction score
76
Ndugu zangu watajwa hapo juu, nyie ni nyota katika tasnia ya mpira hapa Tanzania na inawezekana yaliyotokea hapo nyuma yaliwafanya mkafikia maamuzi mliyofikia lakini kila nikitizama naona iko haja ya kujitafakari upya, hapo mlipo yaani Simba SC ni ukweli usiokanika kuwa hamna namba katika kikosi cha kwanza, na ni ukweli kuwa bado viwango vyenu viko juu ila kinachowaponza ni kukosa namba kutokana na ushindani uliopo hapo Simba.

Ushauri wangu kwako Gadiel Maiko na Ajib rudini kundini au tafuteni timu mtakayopata nafasi ya kucheza mara kwa mara,tofauti na hivyo mjue mnapotea katika ulimwengu wa soka.

Nendeni hata Polisi, Kagera, Mtibwa n.k ili mradi mpate nafasi, kuitwa mchezaji wa simba au Yanga wakati huna nafasi ni undondocha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikitishwa kutokuwaona Gadiel Michael na Ibrahim Ajib kwenye game kubwa kama ya jana, Game yenye fursa nyingi kuanzia ndani mpaa nje. Wachezaji wajifunze namna yakupokea ofa za usajili, unakubali kutia wino, na unajua no yako kule kuna mwana kiboko yako, huo ni uvivu wakufikiria.
 
Maisha ya mpira ni tofauti na unavyodhani, mpira unahitaji nidham. Ajib na Gadiel wameflop na huu ndiyo ukweli.
Gadiel uwezo wake wa kukaba na kushambulia pia kupiga accurate pass umeshuka Ajib anacheza mpira wa kizaman, hakabi na hata yale maudambwidambwi yake hayapo tena, wote wameflop.

Nahisi mshahara tunaowalipa umewafanya waendekeze starehe kuliko kazi iliyowaleta. Wakiendelea hivi tutawatema, hatutaki mizigo kwenye timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajib akishalewa
IMG_20200309_122008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kale ka Zimbwr Jr. ni shida, wengi wanakakuta na kukaacha kwenye namba yake! Asante Kwasi kwenye ubora wake alichoma mahindi kisha akafungashiwa vilago. Huyu Gadiel sijui alifuata nini kule?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu wa pwani yule , Kwenye zile teknolojia za MwaAfrika yupo vizuri.
 
zimbwe anaujua tokea viwanja vya jangwani yeye na singano walikuwa natural ball talent..

mwl kashasha alimjibu vzr mtangazaj oscar kuhusu uchawi kifalsafa zaidi ya kimpira..hakuna ujinga wa uchaw kwenye soka imani ya wazee wetu kabla ya Tech kwa miaka hii ya 2020 ni upumbav kuwaza hivo
Nasikia kajamaa kachawi hatari

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waende Mtibwa wakajaribu kulima miwa.

Mchezaji anakataa kwenda TP Mazembe. Timau kweli huyu? Afadhali bench la Mazembe kuliko la Bongo.

Bila shaka hela ya usajili ilikuwa nzuri lakini hawakuangalia mustakabali wa muda mrefu. Miaka miwili ikiisha na wao wamekwisha.
 
Kinachowaponza Simba tamaa..mchezaji akitakiwa na Yanga wanapandisha dau ili Yanga wamkose..kama Luis alishamalizana na Yanga wakapandisha dau 110m wakati upungufu wa Simba ni defensive midfielder...issue ya Kotei wakaleta figisu..Nyoni na Boko walikuwa wanakuja Yanga figisu..Dilunga alikuwa anarudi nyumbani kwao figisu..Nasikia hata Chama alikuwa anakuja Yanga Chief Coach Lwandamina alimpendekeza figisu...Mwamnyeto figisu....Ajibu,Gadiel na Kakolanya kuvunja nguvu ya Yanga bila ya kuwa na faida nao..Hata Morrison deal lake lingetangazwa figisu...pesa za MO zinapigwa ovyo ..
 
Back
Top Bottom