KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Tena akiwa mama Abdul sijui atakuja na ipi na vile katoka ukanda wa mipasho itakuwa kivumbi tupu!.
Ugumu unakuja taswira alioitengeneza watu sahivi wanaona hafanyi Yale aliyokuwa akiyafanya mtangulizi wake,ambapo aliurithi ule usemi wa "hapa kazi tu" nakuuita "kazi iendelee".
Hapo kwenye kazi iendelee Kila mtu na vile awazavyo.
Sijui kwenye kabati la misimu watakuja na lipi hiyo 2025,nahisi itakuwa ngumu mno kujipambanua si kazi rahisi but all in all tulambeni asali...😋