Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Sawa chawa wa mamaHakuna mwenye uwezo wala ubavu wa kushindana na Rais samia katika sanduku la kura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa chawa wa mamaHakuna mwenye uwezo wala ubavu wa kushindana na Rais samia katika sanduku la kura.
Hiyo ni slogan ya Mama ntillie "Mama ametufikia na mgao wa Maharage gizani"Mama Amekufikia Ulipo. sema usikilizwe.
Mama Abdu angekuwa mzalendo kama wewe mgao wa umeme usingekuwepoKasi ya uchumi wetu ni kubwa sana ambapo mahitaji ya umeme yanaongezeka na kupelekea upungufu wa umeme.Hata hivyo muda siyo mrefu tatizo hilo litabaki historia pale ambapo uzalishaji wa umeme kupitia bwawa la mwalimu Nyerere utakapoanza.
Blah blah tu hizoKasi ya uchumi wetu ni kubwa sana ambapo mahitaji ya umeme yanaongezeka na kupelekea upungufu wa umeme.Hata hivyo muda siyo mrefu tatizo hilo litabaki historia pale ambapo uzalishaji wa umeme kupitia bwawa la mwalimu Nyerere utakapoanza.
Ikiisha 6 cd inapandishwa nyingineMna miezi sita ya mgao..[emoji23]
Tanzania bila bandarini, inawezekana.Tena akiwa mama Abdul sijui atakuja na ipi na vile katoka ukanda wa mipasho itakuwa kivumbi tupu!.
Ugumu unakuja taswira alioitengeneza watu sahivi wanaona hafanyi Yale aliyokuwa akiyafanya mtangulizi wake,ambapo aliurithi ule usemi wa "hapa kazi tu" nakuuita "kazi iendelee".
Hapo kwenye kazi iendelee Kila mtu na vile awazavyo.
Sijui kwenye kabati la misimu watakuja na lipi hiyo 2025,nahisi itakuwa ngumu mno kujipambanua si kazi rahisi but all in all tulambeni asali...😋
Watakuja na brainwashing slogan nyingine!!Tena akiwa mama Abdul sijui atakuja na ipi na vile katoka ukanda wa mipasho itakuwa kivumbi tupu!.