Nawaza 2025 slogan ya mgombea CCM sijui itakuwaje!

Kasi ya uchumi wetu ni kubwa sana ambapo mahitaji ya umeme yanaongezeka na kupelekea upungufu wa umeme.Hata hivyo muda siyo mrefu tatizo hilo litabaki historia pale ambapo uzalishaji wa umeme kupitia bwawa la mwalimu Nyerere utakapoanza.
Mama Abdu angekuwa mzalendo kama wewe mgao wa umeme usingekuwepo
 
Kasi ya uchumi wetu ni kubwa sana ambapo mahitaji ya umeme yanaongezeka na kupelekea upungufu wa umeme.Hata hivyo muda siyo mrefu tatizo hilo litabaki historia pale ambapo uzalishaji wa umeme kupitia bwawa la mwalimu Nyerere utakapoanza.
Blah blah tu hizo

Ova
 
Tanzania bila bandarini, inawezekana.
 
Watakuja na brainwashing slogan nyingine!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…