Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Soda ni ishu hivyo Kenya?
Sio soda tuu hata bia mzee chupa moja yabia 500ml au 350ml n Kati ya Ksh 200/= mpaka 220/= (Tsh 4,200 mpaka 4,500/=) kwa chupa moja ya bia.
Ndio Mana wakenya waishio mpaka wa Tanzania huenda kula Nyama na bia Tanzania na kurudi Kenya wakiwa wamelewa vizuri kwabei nafuu.
Kifupi mipaka yetu na Kenya kwa watu wenye kipato Cha kawaida Hadi chini huwa inabidi kila Jambo lake la kula na kunywa anahakikisha analipatia upande wa Tanzania.