Nawaza kufanya Biashara ya maziwa kutoka Kenya (Brookside)

Soda ni ishu hivyo Kenya?


Sio soda tuu hata bia mzee chupa moja yabia 500ml au 350ml n Kati ya Ksh 200/= mpaka 220/= (Tsh 4,200 mpaka 4,500/=) kwa chupa moja ya bia.

Ndio Mana wakenya waishio mpaka wa Tanzania huenda kula Nyama na bia Tanzania na kurudi Kenya wakiwa wamelewa vizuri kwabei nafuu.

Kifupi mipaka yetu na Kenya kwa watu wenye kipato Cha kawaida Hadi chini huwa inabidi kila Jambo lake la kula na kunywa anahakikisha analipatia upande wa Tanzania.
 
Dah ni hatari
 
Kiufupi bia inayouzwa cheap Kenya Kwa sasa n taska 170ksh = tsh 3500

Hiz zingine n 200+ksh na hapo kwenye
Grocery za mtaan
 
Konyag za Kenya n fake Achana nazo
Zinatengenezwa hapo kariobangi

Yan ukitaka ya tz labda utume border
 
Konyag Yao ukiigusa huwez maliza hata
Kale kachupa kadogo yani Makalu balaa
Aiseee Acha tu
 
Azam, Asas na Tanga fresh ndiyo wameshikilia hilo soko...

Hayo maziwa yapo ila hayana soko...
 
Namba uliopiga umepigwa

Sasa nimekuuluza ili unipe uhakika wa unachosema Sasa habari za 2015 na umeambiwa hzo vitu vilipigwa ban Sasa n 2021.

Yan mtanzania n tabu sana
Vimepigwa ban maziwa hayaingii.?
 
Kenya chupa ndogo ya soda ni 330ml na inauzwa Kshs. 30. That's Tshs. 600
 
Mku hbr.
Kama umekaa Kenya itakuwa vizuri kwani kuna mambo nilitakiwa kwenda kujifunzia huko kuhusu haya mambo ya Maziwa.
Kabla hujaanza kuyaingiza fanyampango tutafutane kwani mm ni mdau wa biashara hii japokuwa siijui sana ila kuna mambo nayajua.
Maziwa ni biashara nzuri sana
 
Kweli kabisa kwani mm nauza mitaani na hiyo mitaani nikitoka saa kumi mbili asubuhi mpaka saa tatu kuna siku nakuwa nimeshamaliza lita 40 na zaidi bado oda za mchana.
Na Mara nyingi huwa nauza Mtindi
 
Mbona maziwa yapo mengi sana ila ni fresh kutoka kwenye zizi la ng'ombe.

Nadhani kabla haujaleta mzigo kwa kutazama bei pia ungejielimisha kwann bei ina paa tz kuliko huko, maana kuna wazee wa tozo, hawa jamaa wanamsururu wa vitozo ambavyo sijui vilitungwa kwa akili gani na ndivyo vinafanya bei kuwa kubwa.
 
Kipindi cha Jk hawa brookside walikuwa na milk collection centers mpaka maeneo ya west Kilimanjaro especially Siha. Awamu ya tano zikayeyuka zote.
 
Tozo za kuingiza maziwa kutoka nje ya nchi ziliongezwa kwa asilimia 1200 mwaka 2018 sasa ajichanganye akamatwe nayo mpakanišŸ’


 
Kenya chupa ndogo ya soda ni 330ml na inauzwa Kshs. 30. That's Tshs. 600
Kuna siku nilienda Kenya border, tulikuwa wawili. Tukanunua soda 2 halafu tukawapa Tsh 10,000.

Waliturudishia change Ksh 350 ambayo tulipobadili tukapata Tsh 7,000.

Kwahiyo nadhani zile soda ni Buku buku. Ambayo ni ksh 50 kwa chupa
 
Kuna siku nilienda Kenya border, tulikuwa wawili. Tukanunua soda 2 halafu tukawapa Tsh 10,000.

Waliturudishia change Ksh 350 ambayo tulipobadili tukapata Tsh 7,000.

Kwahiyo nadhani zile soda ni Buku buku. Ambayo ni ksh 50 kwa chupa

Chupa size gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…