NAWAZA KUWA MWANASIASA,LAKINI....... ..

NAWAZA KUWA MWANASIASA,LAKINI....... ..

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Amani na upendo kwa wote.

kuna kipindi nilikuwa nachukia sana siasa baada ya kuona migongano,mifarakano,viini macho na mambo kemkem yasiyoeleweka huku mengine yakiwa hayana kichwa wala miguu.
wakati mwingine nao nikawa naona hata kizungu zungu.
sasa hivi nataka kuwa mwanasiasa ili nivirekebishe hivi vyama vyetu lakini nilikuwa naomba ushauri,nijiunge na chama gani ?
nb:baada ya ushauri ndo ntahamia jukwaa la siasa.
 
UDP

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
CHAPUTA (CHAma cha mazao ya Pamba na Ufuta Tanzania) nadhani chama hiki kitasaidia wakulima wetu nchini
 
Back
Top Bottom