Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Amani na upendo kwa wote.
kuna kipindi nilikuwa nachukia sana siasa baada ya kuona migongano,mifarakano,viini macho na mambo kemkem yasiyoeleweka huku mengine yakiwa hayana kichwa wala miguu.
wakati mwingine nao nikawa naona hata kizungu zungu.
sasa hivi nataka kuwa mwanasiasa ili nivirekebishe hivi vyama vyetu lakini nilikuwa naomba ushauri,nijiunge na chama gani ?
nb:baada ya ushauri ndo ntahamia jukwaa la siasa.