imbombo jilipo kazi hamna
najaribu kuwaza maiti ya kiislamu ikifufuka nahisi kitu cha kwanza ni kuomba msosi kwanza maana maiti za kiislam lazma zioshwe kwa kukamua kila kilichoko tumboni.
Maiti za kikristo zinapelekewaga chipsi mortuary? Uchokozi tu hauna lolote!
Sa tope litatokaje mdomoni?...Unazidi kutema vumbi a.k.a sushihahahahaha.....Haaa vumbi linatemwaje?! lol inamaana sina mate hata litoke tope badala ya vumbi!