Mtalingolo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 2,181 Reaction score 410 Jan 23, 2013 #21 King'asti said: Maiti za kikristo zinapelekewaga chipsi mortuary? Uchokozi tu hauna lolote! Click to expand... Umeliona hilo kwa jicho latatu kumbe.
King'asti said: Maiti za kikristo zinapelekewaga chipsi mortuary? Uchokozi tu hauna lolote! Click to expand... Umeliona hilo kwa jicho latatu kumbe.
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Jan 24, 2013 Thread starter #22 Mtalingolo said: Umeliona hilo kwa jicho latatu kumbe. Click to expand... Mas-hara hayo. Jicho la tatu ni lipi????!!!!!!!!!!
Mtalingolo said: Umeliona hilo kwa jicho latatu kumbe. Click to expand... Mas-hara hayo. Jicho la tatu ni lipi????!!!!!!!!!!
ameline JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 2,292 Reaction score 1,152 Jan 24, 2013 #23 kama ni ndoto angeishia hapohapo ila akiingia huko kwenye maiti sijui za wap kweli itakua shida maana kila mtu akileta utani hapa hapatakalika hasa wa kidini
kama ni ndoto angeishia hapohapo ila akiingia huko kwenye maiti sijui za wap kweli itakua shida maana kila mtu akileta utani hapa hapatakalika hasa wa kidini
vamda JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 919 Reaction score 599 Jan 26, 2013 #24 Ishieni hapo hapo na kashfa zenu za kidini. Kashfa hizi zimepitwa na wkt ktk dunia ya leo.