Nawaza siku nikijipata

Nawaza siku nikijipata

Siku nikijipata lazima nikatembelee library of congress huko marekani. Mimi ni mnazi sana wa kusoma vitabuu
Hii maktaba naifurahiaga sana nikiingia kwenye site yao
Nafurahia kuona historia ya mwafrika tumetoka mbali saana 😄
Binafsi napenda sana kusoma
 
Nimekumbuka tu hii nyimbo yake sijui hata alipo [emoji3]
Kali sana..bonge la inspiration

kama Appolo mwelekeo wangu[emoji445]
Mawingu sio kipingamizi kwangu
Anga la saba kikomo changu
Sioni sababu zisiwe kweli ndo zangu
Jeetu Patel muumba wake ndiye yule wangu [emoji445]
 
Kali sana..bonge la inspiration

kama Appolo mwelekeo wangu[emoji445]
Mawingu sio kipingamizi kwangu
Anga la saba kikomo changu
Sioni sababu zisiwe kweli ndo zangu
Jeetu Patel muumba wake ndiye yule wangu [emoji445]
Hivi kumbe alimpaisha hadi jeetu kwenye hii track 😄
Nikizipata mbona itakuwa nomaa
Nikizipata...........
🎶🎶🎶🎶
 
Hivi kumbe alimpaisha hadi jeetu kwenye hii track [emoji1]
Nikizipata mbona itakuwa nomaa
Nikizipata...........
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Yah alimpaisha ...jamaa alikuwa anawaza kuwakomesha wanga tu [emoji3]
 
Uko shuleni mnaenda kusomea ujinga??
Sasa mkuu masomo ya kulebo panzi na kilimo cha kahawa sirilanka ndiyo unataka nichapishe humu na hiki kiangazi??
 
Back
Top Bottom