matonyamswanu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 358
- 433
Walitoka nchi jiraniKumekuwa na taarifa za watu kupotea tangu 29/10/2025 na 31/10/2025.
Kila mtu anasema lake, serikali iko kimya, na baadhi ya watu wanadai kupotelewa na ndugu zao.
Je, nini kifanyike.
1: Serikali inaweza kuanzisha platform maalum kukusanyia taarifa hizi ?
2: Ndugu watakaojitokeza na kuthibitisha kupotelewa na ndugu zao je nao watakuwa salama ?
Ninawaza kuwa idadi ya watu inayotajwa 10,000 huenda inapikwa kuongeza ukubwa wa vurugu.
Watu 10,000 ni nchi Nchi nzima ya kisiwa cha "Nauru" iliyopo kilometa 40 mwa Fiji au karibu na Australia. Nchi hii ina Rais aliyechaguliwa.
Kuukubali uvumi huu ni sawa na kusema kwa mfano, Tanzania imeifuta nchi ya Nauru kwenye uso wa dunia kwa siku tatu tu.
Je tumanyaze na kila mtu awaze atavyopokea/alivyopokea to na kukubaliana na uvumi au ukweli wa kupotelewa na ndugu ?
Waliopotea kuanzia oct 29 hadi Nov 3 basi jua TASK FORCE wamepita naye iwe iether kula chuma au kuwekwa kambi ya mateso kisha kumalizwa.Kumekuwa na taarifa za watu kupotea tangu 29/10/2025 na 31/10/2025.
Kila mtu anasema lake, serikali iko kimya, na baadhi ya watu wanadai kupotelewa na ndugu zao.
Je, nini kifanyike.
1: Serikali inaweza kuanzisha platform maalum kukusanyia taarifa hizi ?
2: Ndugu watakaojitokeza na kuthibitisha kupotelewa na ndugu zao je nao watakuwa salama ?
Ninawaza kuwa idadi ya watu inayotajwa 10,000 huenda inapikwa kuongeza ukubwa wa vurugu.
Watu 10,000 ni nchi Nchi nzima ya kisiwa cha "Nauru" iliyopo kilometa 40 mwa Fiji au karibu na Australia. Nchi hii ina Rais aliyechaguliwa.
Kuukubali uvumi huu ni sawa na kusema kwa mfano, Tanzania imeifuta nchi ya Nauru kwenye uso wa dunia kwa siku tatu tu.
Je tumanyaze na kila mtu awaze atavyopokea/alivyopokea to na kukubaliana na uvumi au ukweli wa kupotelewa na ndugu ?
Walitoka nchi jirani
Kumbe shaba zilirindima hadi 03/11/2025 duuhWaliopotea kuanzia oct 29 hadi Nov 3 basi jua TASK FORCE wamepita naye iwe iether kula chuma au kuwekwa kambi ya mateso kisha kumalizwa.
TEC ndiyo wana bunduki na wanamiliki vituo vya polisi na TCRA na mahospitali ?Waulizwe TEC
Wale ndiyo wachochezi wenyew
Ndiyo watu waliendelea kula vyuma hadi tar 3 Nov alfajiri.Kumbe shaba zilirindima hadi 03/11/2025 duuh
Naona mengine yalinipita, mambo ni mengiNdiyo watu waliendelea kula vyuma hadi tar 3 Nov alfajiri.
Hivi Kenya nako walizima network those days maana sikumbuki na sikuwa na smartphone 2017.stori za kubumba zinazosambazwa na kwa hisani ya TEC
Kama ni kweli, kwanini taarifa walizopeleka kwa mabwana zao huko ICC hazina ushahidi wa hio idadi ya 10,000?
Na hata idadi waliopelepa imeshindwa kuthibitishwa?
Hivi hamshangai kwanini mpaka leo ICC wamepotezea huu ujinga wa kwenda kushtaki kwao, yaani mpaka leo hatujasikia chochote kutoka kwao,
Linganisha na South Africa alivyofungua kesi dhidi ya Israel, au machafuko ya uchaguzi Kenya, haikupita mwezi kesi ziliaanza kusikilizwa, vipi kesi yenu iko wapi mpaka leo?
SIO 2017 ni 2007, sasa wewe niambie ni wangapi walikuwa na simu miaka hiyo kulinganisha na sasa, hata kuingia kwenye mtandao ilikuwa unaenda kwenye internet cafe,Hivi Kenya nako walizima network those days maana sikumbuki na sikuwa na smartphone 2017.
Kwa hiyo wakiripoti huwa wanakujulisha?Aliyepotelewa aliambiwa aripoti polisi
Nakubali mkuu. Nimekosea mwaka.SIO 2017 ni 2007, sasa wewe niambie ni wangapi walikuwa na simu miaka hiyo kulinganisha na sasa, hata kuingia kwenye mtandao ilikuwa unaenda kwenye internet cafe,
Mbona tulishatoka huko? Sasa hivi tunazungumzia Uchumi wa BuluuKumekuwa na taarifa za watu kupotea tangu 29/10/2025 na 31/10/2025.
Kila mtu anasema lake, serikali iko kimya, na baadhi ya watu wanadai kupotelewa na ndugu zao.
Je, nini kifanyike.
1: Serikali inaweza kuanzisha platform maalum kukusanyia taarifa hizi ?
2: Ndugu watakaojitokeza na kuthibitisha kupotelewa na ndugu zao je nao watakuwa salama ?
Ninawaza kuwa idadi ya watu inayotajwa 10,000 huenda inapikwa kuongeza ukubwa wa vurugu.
Watu 10,000 ni nchi Nchi nzima ya kisiwa cha "Nauru" iliyopo kilometa 40 mwa Fiji au karibu na Australia. Nchi hii ina Rais aliyechaguliwa.
Kuukubali uvumi huu ni sawa na kusema kwa mfano, Tanzania imeifuta nchi ya Nauru kwenye uso wa dunia kwa siku tatu tu.
Je tumanyaze na kila mtu awaze atavyopokea/alivyopokea na kukubaliana na uvumi au ukweli wa kupotelewa na ndugu ?
Mapema hivi jamani ?Mbona tulishatoka huko? Sasa hivi tunazungumzia Uchumi wa Buluu
Wangekuwa waliouawa ni wachache serikali ingetoa figures...imewazika wengine kinyemela ili kuleta hii sintofahamuKumekuwa na taarifa za watu kupotea tangu 29/10/2025 na 31/10/2025.
Kila mtu anasema lake, serikali iko kimya, na baadhi ya watu wanadai kupotelewa na ndugu zao.
Je, nini kifanyike.
1: Serikali inaweza kuanzisha platform maalum kukusanyia taarifa hizi ?
2: Ndugu watakaojitokeza na kuthibitisha kupotelewa na ndugu zao je nao watakuwa salama ?
Ninawaza kuwa idadi ya watu inayotajwa 10,000 huenda inapikwa kuongeza ukubwa wa vurugu.
Watu 10,000 ni nchi Nchi nzima ya kisiwa cha "Nauru" iliyopo kilometa 40 mwa Fiji au karibu na Australia. Nchi hii ina Rais aliyechaguliwa.
Kuukubali uvumi huu ni sawa na kusema kwa mfano, Tanzania imeifuta nchi ya Nauru kwenye uso wa dunia kwa siku tatu tu.
Je tumanyaze na kila mtu awaze atavyopokea/alivyopokea na kukubaliana na uvumi au ukweli wa kupotelewa na ndugu ?
Yaliyopita si ndwele. Tugange yajayoMapema hivi jamani ?
Makaburi bado mabichi hata hayajaota majani. Waliozika bado wana vumbi miguuniYaliyopita si ndwele. Tugange yajayo