ishaisha hio amna kilichobaki pale, the story ishaisha if only wangefanya maamuzi sahihi wangekua wanakula maisha saaaahvMakaburi bado mabichi hata hayajaota majani. Waliozika bado wana vumbi miguuni
Kama idadi ni sahihi 10,000 au kama ni ndogo, nijuavyo records ya vifo haifutiki.ishaisha hio amna kilichobaki pale, the story ishaisha if only wangefanya maamuzi sahihi wangekua wanakula maisha saaaahv
we nguruwe TEC ndiyo walikutoa bikra ya mkvndv madrasa?Waulizwe TEC
Wale ndiyo wachochezi wenyew
Kinachokufanya uhisi ivi ni kwa sababu ya ideology zako, ila watu hawana mda sana na issue zenu, infact binadam hua tunajitegemea we dont really care that much, wewe unaweza kuona labda ni kitu kikubwa ila ilo swala lishaisha na watu hawana story nalo tena! Mwana filisofia mmoja mkubwa alishawahi kusema Better wise than right, you receive consequences according to your actionsKama idadi ni sahihi 10,000 au kama ni ndogo, nijuavyo records ya vifo haifutiki.
Itaandikwa miaka elfu ijayo.
Itasomwa na vizazi vijavyo, Karne nyingi huko, kwamba tunataka au hatutaki.
Atatajwa Rais aliyeamrisha. Na wahusika wote.
Hata mimi nakubaliana na wewe kuwa hivi vifo kwenu upande mmoja, havina umuhimu, havina thamani ,havina ukweli, na havina hisia wala uchungu na hakuna aliyekufa na ni uzushi.Kinachokufanya uhisi ivi ni kwa sababu ya ideology zako, ila watu hawana mda sana na issue zenu, infact binadam hua tunajitegemea we dont really care that much, wewe unaweza kuona labda ni kitu kikubwa ila ilo swala lishaisha na watu hawana story nalo tena! Mwana filisofia mmoja mkubwa alishawahi kusema Better wise than right, you receive consequences according to your actions
watu milion 70 wamekufa world war 1 na story ishaisha, we unaongelea wahalifu wa mali za ummaHata mimi nakubaliana na wewe kuwa hivi vifo kwenu upande mmoja, havina umuhimu, havina thamani ,havina ukweli, na havina hisia wala uchungu na hakuna aliyekufa na ni uzushi.
Ila hutawalazimisha waliozika kunyamaza, na itaandikwa, kwamba unataka au hutaki.
Wewe ambaye hujazika, hujapotelewa inakugusa wapi mkuu. Kwanza unaona wanakupigieni makelele tu.
Narudia kwa msisitizo, itaandikwa, itatunzwa, itasomwa, itafundishwa hata mashuleni.
Una kichaa kibaya sana kitakachokupelekea siku moja uje ule kinyesi chako mwenyeweWaulizwe TEC
Wale ndiyo wachochezi wenyew