Nawaza tu kwa jicho la tatu Mwabukusi amelamba asali

Whitesmith

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
454
Reaction score
635
Habari ya usiku huu wa GT.
Kila nikiangalia mwenendo wa mambo hasa hasa huko TLS, hasa hasa Rais wa TLS nafsi inaniambia mambo yafuayayo yanapaswa kupewa jicho la tahadhari:

Kwanza, Section 4
Kwa sisi ambao siyo wanachama wa TLS tulikuwa hatuna ufahamu kuhusu hili la section 4, habari ya section 4 ni kati ya mambo ambayo Watanganyika waliona tumaini jipya ndani MWABUKUSI, ukizingatia kuwa vyama vyote vya upinzani vimelamba asali hivyo walikuwa "wapandisha dau" tu, wananchi wengi waliachwa gizani.

MWABUKUSI baada yakuona hilo alitumia chance vizuri, Section 4 yeah "tutaamsha vuguvugu zakudai rasilimali za Tanganyika tutataka mikataba iwekwe wazi" MWABUKUSI aliaminisha umma kuwa kama serikali itakaidi kutii section 4 atahamasisha nguvu ya umma kushinikiza serikali. Watanganyika tuliona Nuru mpya tena ndani ya MWABUKUSI kupitia TLS.

Nina wasi wasi kwa hali ilivyo mwamba simwelewi amekuwa mtu wa matamko matamu hatuoni nguvu yoyote ya SECTION 4 hatuoni tena vugu vugu zakudai TANGANYIKA na rasilimali zake kama tulivyoahidiwa.
"nawaza tu kwa jicho la tatu MWABUKUSI AMELAMBA ASALI"

PILI, HOJA YAKULETA WADAU
Hivi karibuni TLS imekuja na hoja yakuleta wadau pamoja, lakini hii naona kama kupotezeana muda tu. Je, tunawezaje kufikiri kuwa CCM inataka kuelimishwa juu ya Tume huru? Je, tunawezaje kusema kuwa CCM inaweza kukubali bila shinikizo kubadili katiba na kuunda Tume huru?

Lakini katika press hiyo kana namna ukimsikiliza MWABUKUSI vizuri hana tofauti na G55, MWABUKUSI aliyekuwa anaamini katika nguvu ya umma anasema "hakuna mtu yoyote anayeweza kuzuia Uchaguzi hata Rais" hii kauli iko kimkakati sana na hapa anatuma ujumbe uliokusudiwa kwa mamlaka husika kuwa anachosema Lissu au CHADEMA ni Kosa kisheria, hivyo anatuandaa kisaikolojia kupokea maamuzi yoyote Yale kama mamlaka itahangaika na Lissu.

Tatu, Sakata la wanachama kuzuiliwa kuhudhuria makakama
Sisi tulitarajia TLS/MWABUKUSI ingekuwa ya kwanza kutoa tamko Kali kwa serikali, na Rais wa TLS alitakiwa adhuru eneo la mahakama immediately kujionea mwenyewe Hali inavyokuwa kuonesha solidarity nakuwatia moyo mawakili na Watanganyika kuwa ilikuwa haki yao kisheria.

Hitimisho
 kutokana na mwenendo wa mambo MWABUKUSI naamini anapiga mwingi amekuwa mlalamishi nyuma ya "keyboard" alituahidi ataifanya TLS iwe ya Watanganyika hata kama ni kwa mia mia zao.
SECTION 4, SECTION 4, SECTION 4.
 
Hii ndo shida kubwa ya chadema, huwa inawaza,Aliza sana dhambi sema yenyewe sababu ni manyumbu hata hayaelewi.
 
Mbona mwamba amesagia sana kunguni tangu juzi kuhusu haya maswala ya kuteka wapinzani na uvunjifu wa sheria unaoendelea!!!
 
mapema sana alisha unga juhudia maana nilisoma sehemu walipewa magari icho chama chanu

njaa imekomeshwa nyumbani kwake huwezi kumsikia akibwabwaja tena
Umenisanua Mwambu amechange ghafla anatumika na system
 
Habari ya usiku huu wa GT.
Kila nikiangalia mwenendo wa mambo hasa hasa huko TLS, hasa hasa Rais wa TLS nafsi inaniambia mambo yafuayayo yanapaswa kupewa jicho la tahadhari:

Kwanza, Section 4
Kwa sisi ambao siyo wanachama wa TLS tulikuwa hatuna ufahamu kuhusu hili la section 4, habari ya section 4 ni kati ya mambo ambayo Watanganyika waliona tumaini jipya ndani MWABUKUSI, ukizingatia kuwa vyama vyote vya upinzani vimelamba asali hivyo walikuwa "wapandisha dau" tu, wananchi wengi waliachwa gizani.

MWABUKUSI baada yakuona hilo alitumia chance vizuri, Section 4 yeah "tutaamsha vuguvugu zakudai rasilimali za Tanganyika tutataka mikataba iwekwe wazi" MWABUKUSI aliaminisha umma kuwa kama serikali itakaidi kutii section 4 atahamasisha nguvu ya umma kushinikiza serikali. Watanganyika tuliona Nuru mpya tena ndani ya MWABUKUSI kupitia TLS.

Nina wasi wasi kwa hali ilivyo mwamba simwelewi amekuwa mtu wa matamko matamu hatuoni nguvu yoyote ya SECTION 4 hatuoni tena vugu vugu zakudai TANGANYIKA na rasilimali zake kama tulivyoahidiwa.
"nawaza tu kwa jicho la tatu MWABUKUSI AMELAMBA ASALI"

PILI, HOJA YAKULETA WADAU
Hivi karibuni TLS imekuja na hoja yakuleta wadau pamoja, lakini hii naona kama kupotezeana muda tu. Je, tunawezaje kufikiri kuwa CCM inataka kuelimishwa juu ya Tume huru? Je, tunawezaje kusema kuwa CCM inaweza kukubali bila shinikizo kubadili katiba na kuunda Tume huru?

Lakini katika press hiyo kana namna ukimsikiliza MWABUKUSI vizuri hana tofauti na G55, MWABUKUSI aliyekuwa anaamini katika nguvu ya umma anasema "hakuna mtu yoyote anayeweza kuzuia Uchaguzi hata Rais" hii kauli iko kimkakati sana na hapa anatuma ujumbe uliokusudiwa kwa mamlaka husika kuwa anachosema Lissu au CHADEMA ni Kosa kisheria, hivyo anatuandaa kisaikolojia kupokea maamuzi yoyote Yale kama mamlaka itahangaika na Lissu.

"nawaza tu kwa jicho la tatu MWABUKUSI AMELAMBA ASALI"

Tatu, Sakata la wanachama kuzuiliwa kuhudhuria makakama
Sisi tulitarajia TLS/MWABUKUSI ingekuwa ya kwanza kutoa tamko Kali kwa serikali, na Rais wa TLS alitakiwa adhuru eneo la mahakama immediately kujionea mwenyewe Hali inavyokuwa kuonesha solidarity nakuwatia moyo mawakili na Watanganyika kuwa ilikuwa haki yao kisheria.
"nawaza tu kwa jicho la tatu MWABUKUSI AMELAMBA ASALI"

Hitimisho
 kutokana na mwenendo wa mambo MWABUKUSI naamini anapiga mwingi amekuwa mlalamishi nyuma ya "keyboard" alituahidi ataifanya TLS iwe ya Watanganyika hata kama ni kwa mia mia zao.
SECTION 4, SECTION 4, SECTION 4.
Alambe au asilambe atajiju, mwenyewe
 
Naunga mkono asilimia mia hoja zote za mleta mada pamoja na sentensi ya mwisho kila baada ya hoja.
 
Kwani yeye anaongoza chama gani cha siasa....
 
sa ivi yuko anaimba wimbo wa pattern 'ibilisi amenipanda sa ngefanya nini?'
 
Mleta mada Njaa inakusokota, hata kama ungekua wew ungefanyaje?
 
Back
Top Bottom