Nawaza tu kwa jicho la tatu Mwabukusi amelamba asali

nilimuuliza mbona TLS iko kimya? yaani ni kama amejiondoa TLS anafanya kivyake, Mjanja mjanja sana, shida ni ile VX walio hongwa.
 
Mbona mwamba amesagia sana kunguni tangu juzi kuhusu haya maswala ya kuteka wapinzani na uvunjifu wa sheria unaoendelea!!!
Ni mjamja mjanja TLS ndio ina power kuliko yeye, sasa wapi matamko ya TLS? ni kama alisha stafu uongozi wa TLS
 
Hii ndo shida kubwa ya chadema, huwa inawaza,Aliza sana dhambi sema yenyewe sababu ni manyumbu hata hayaelewi.
Andika vizuri usiwe na haraka, kwenye mkato weka mkato, weka nafasi. Usiwe na haraka unaweza ukawa na hoja, lakini tusikuelewe.
 
nilimuuliza mbona TLS iko kimya? yaani ni kama amejiondoa TLS anafanya kivyake, Mjanja mjanja sana, shida ni ile VX walio hongwa.
Yeah, nafikiri umenielewa vizuri, ameweka taasisi mfukoni na section 4 zake, anakuja mtandaoni kama yeye.
 
Mbona mwamba amesagia sana kunguni tangu juzi kuhusu haya maswala ya kuteka wapinzani na uvunjifu wa sheria unaoendelea!!!
tulisubiri ngija ngija turudishe bandari zetu na rasilimali za Tanganyika kupitia TLS, sababu wengine tulishakata tamaa na vyama vya siasa. Angalau sasa hivi tunapata nguvu yakuandika Kutokana na CHADEMA iliyopo sasa.
 
nilimuuliza mbona TLS iko kimya? yaani ni kama amejiondoa TLS anafanya kivyake, Mjanja mjanja sana, shida ni ile VX walio hongwa.
Alituaminisha tukamwamini, tulitarajia mikataba za rasilimali za Tanganyika zingeanza kupiganiwa kupitia TLS. Maana wengine tulishakata tamaa na vyama vya siasa(wapandisha dau).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…