Nawaza tu kwa sauti

Status
Not open for further replies.

Skudu makudubela

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
561
Reaction score
1,112
Greetings

Nimekaa tu nikiwaza na lilikua wazo langu la muda mrefu tu,hivi mfano tukakutana vijana watatu mpaka watano tukaandika proposal kwenye balozi ya usa USA EMBASSY TZ na nchi nyingine za ulaya kwamba watupe funds tusambaze awareness kwa jamii Tanzania na africa kwamba LBGTQ ni binadamu kama sisi so tusiwatenge wala tusiwabague.hii idea imekaaje? NAKARIBISHA CRITICISM


Ni hayo tu ,maokoto tunaokota au hatuokoti?
 

Wazo zuri sana ila sasa ngoja wajuzi waje uonee balaaa lake
 
Yaani huu ujinga ndio unawaza kwa sauti?
 
Skudu .......wahuni wanakuvuna Masega sio Bure !
 
Naelewa wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba nchi za africa hazina nguvu ya kupambana ns matakwa ya nchi za ulaya ni swala la muda tu 20yrs to come lbgtq bongo itakuwa kawaida niko pale


Mm sio lbgtq nakazia
 
Mimi naona tubaki hivi hivi ili wasiongezeke.

Ukiangalia mataifa yaliyoendelea yanayotoa uhuru kwa mashoga, jamii zao zinapata matatizo, mtoto mdogo anaambiwa jinsia yake hajazaliwa nayo, bali ni jinsi anavyojiskia, mtu anaamua kubadilisha jinsia kisa 'amehisi hivyo'....

Bora tubaki hivi hivi
 
Issue ni kuielimisha tu jamii kwamba lbgtq n watu kama watu wengine so wasitengwe wala kubaguliwa""najaribu tu kuwaza lakini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…