Nawaza tu

Nawaza tu

Ally maganga

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
1,433
Reaction score
913
Najiuliza sana na kutafakari,

Kwanini serikali ya Tanzania isitumie watu maarufu duniani(sio Tanzania)

kama wachezaji mpira mfano Cr7, messi&neymar au wanamuziki na waigizaji maarufu zaidi duniani,

kwaajiri ya kutangaza vivutio vyetu vya Utalii.

Zile 1.5t naamini zinatosha kabisa kufanya hili jambo na chenji zinabaki.

Nawaza tu!
 
Wazo zuri. Ila mikataba ya hao majamaa uliowataja ni noma sana. Kwa mfano: 2016 Nike shoes waliingia mkataba na CR7 wa USD 1B so kama Tsh 2.3T. Ingawa huu wa Nike ni wa Tofauti (life time contract) ila unaweza guess ni jinsi gani jamaa ni wa bei kubwa.

Kwa sisi labda matangazo akasema tumpe Billion 200 au 500 ambazo ni 0.5T ni hasara sana.

Sidhani kama hivyo vyanzo vya utalii zinaweza kuzirudisha.

Utalii ili ukue, kwanza uanzie ndani. Sisi wenyewe hatuendi kuviona hivyo vyanzo. Mtu utasikia me nikamuone simba nilipie wakati kwenye TV namuona.
 
Back
Top Bottom