Najiuliza sana na kutafakari,
Kwanini serikali ya Tanzania isitumie watu maarufu duniani(sio Tanzania)
kama wachezaji mpira mfano Cr7, messi&neymar au wanamuziki na waigizaji maarufu zaidi duniani,
kwaajiri ya kutangaza vivutio vyetu vya Utalii.
Zile 1.5t naamini zinatosha kabisa kufanya hili jambo na chenji zinabaki.
Nawaza tu!