Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
Hivi kwenye maisha unawazaga nini mimi pesa na mapenz vingine hakunaga kbsssssss
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naanzaje kuishiwa?Ray waniache huishiwagi na habari!
Hapo sasa shangaa na wewenaanzaje kuishiwa?
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
[emoji106]wewe kweli ray
Mchele mcheleHivi we ni me au ke samahani lakini
Usifanye hitimisho mkuu ngoja nimsikie mwenyew anasemaje maana huo uandishi wake dahMchele mchele
Huyo alikuwa na Id nyingine ya kishenzi nafikiri imefungiwa so ameamua kuja kivingineUsifanye hitimisho mkuu ngoja nimsikie mwenyew anasemaje maana huo uandishi wake dah
Kwahiyo ile kauli ya wanaume watakula kwa jasho yeye haimuhusu
Mie nlshtuka ikabidi niulze hatari sana hiiHuyo alikuwa na Id nyingine ya kishenzi nafikiri imefungiwa so ameamua kuja kivingine
pesa ndo mpango mpangoMimi pesa
Ndio kila kitupesa ndo mpango mpango
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
hata mm pesa ni kipaumbele mnoMi pesa mkuu,..mapenzi yalishanipiga mtama,...sina jipya,..I pray for cars not love,..