Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu watasokomezwa goli Saba...
Mungu aibariki yanga mungu aibariki al ahly..
Mungu aibariki yanga mungu aibariki al ahly..