Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #61
Kwenye michezo lazima kuwe na utani kama huu..nini maana ya watani wa jadi??. umeona manara watu wanavyomdhihaki?? mwishu wa siku unabaki kuwa utani!.. niishie hapa..Kwahiyo kwenye michezo ndio upuuzi ruksa?