Naweka bet Simba aka underdog akimfunga Al Ahly natoa dadangu mje mumchukue

Naweka bet Simba aka underdog akimfunga Al Ahly natoa dadangu mje mumchukue

Kwahiyo kwenye michezo ndio upuuzi ruksa?
Kwenye michezo lazima kuwe na utani kama huu..nini maana ya watani wa jadi??. umeona manara watu wanavyomdhihaki?? mwishu wa siku unabaki kuwa utani!.. niishie hapa..
 
Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu watasokomezwa goli Saba...
Mungu aibariki yanga mungu aibariki al ahly..
Kama unajiamini, kwa nini usijitoe wewe mwenyewe badala yake unampeleka mwingine?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamani tuwe sirious kidogo kwa kuweka idadi ya magori watakayofungwa simba leo alafu baada ya mechi tuludi hapa janvini kuona nani kapatia. Mimi nasema simba anakufa kwa goli 11.
 
Al ahly wanachukua mchezaji toka epl ..simba anachukua mchezaji toka ndanda .af utegemee simba atashinda.hakunaga njia ya mkato kwenye soka
 
Uweke akiba ya maneno

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Nikiwa Shabiki kindakindaki wa yanga.. nimeamua kuweka bet iwapo underdog fc watamfunga Al ahly.. basi ntampa mdau dadangu aende kujipigia mpaka achoke! najua haiwezekani coz mbumbumbu watasokomezwa goli Saba...
Mungu aibariki yanga mungu aibariki al ahly..
Huna mamlaka ya kutoa dadako, toa mwanao au mkeo.
 
Uweke akiba ya maneno

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Sawa mamaa mkifungwa naja kukubeba Weye eti?
 
Back
Top Bottom