Naweka 'koma' (,) JF Leo...

I am so sorry in puttin you in a position where you always fail to pick

your fav... for you know how your sis can pick em' lol

woote macare kwa the whole family...

(enways usiseme saana, ppl will hear...)

Haha..haya bwana nimezipokea zote!
Kisses to my niece...nampenda sana na nitammiss vibaya!
 
Panapo uzima tutaonana ukirudi. Kila la kheri bwana mentori
 
Panapo uzima tutaonana ukirudi. Kila la kheri bwana mentori
Shukrani Maba..panapo majaliwa ya Mola tutaonana.
Endeleza kazi nzuri ya kulijenga taifa huko huko Nansio...na hapa JF.
 
iiiiiii! Mmmmmmmh!! Uwiiiiiiii!!
Woi yeto mangi nsari, iruva akee neve mae!
 
sasa Mentor kale kamchezo ketu ka Matani tutakaendeleza mi na nani?
Naomba unipe ruhusa niwe nataniana na Viv!
 
Utakuwa incommunicado. werevu tumeshajuwa unakwenda kwenye kozi gani. lakini nina uhakika baada ya miezi 6 utarudi hapa.
 
nikiondoa avatar hii ujue ntaweka ya osama tena akiwa hana uhai. sema suuu!
kama issue ni kazi UN, mbona issue ndogo tu, chagua work station chap chap

Haha..change ur avatar!lol..no..don't, jus joking!

My dear..kama ukinipa kazi UN anything to do with social welfare..i will stay!
 
Be a worrior...
To every barrier...


Be receivier...
At wherever interior...

Go sud go Nod.
Go west go est..
Sky the limit...
Bless..
 
Kafie mbele umeingia mwenyewe sasa nani anataka kuagwa humu''chapa lapa hajaitwa mtu humu''umeingia mwenyewe we tembea tu''kwanza umeaga mabint tu ndio rafiki uliokuwa unachat nao sana''najua kichwa bnadamu kama wewe go to hell'
 
kwa nn inatokea jaman, tutakukukmbuka sana
 
u missed being told missing u!, I m sure ur going no where! Jf kuondoka kwa amani sio rahisi, labda ufe au ufungwe jela! We upo tu!
 
yaelekea nimechelewa....

ntabaki hivi mpaka urudi.... Safari njema broo...

 
Ijapokuwa nimechelewa,
na pengine ndio matakwa yako yameshatimia,
bado ninaungana na Wana JF wengine
kukuombea na kukutakia safari njema.
Tutakukosa sana, lakini
Safari sio kifo - Tutaendelea kuwasiliana.
Safari njema!
 
Dah! Nimeshtuka hadi mtoto ametulia. My bro, ntakumiss sana. All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…