Mentor Vp bana, ni sawa huwez kutaja wote kwa majina, lakn mbona umetaja wanawake 2 bana?!!! aaaah mkuu, wote wawili wanawake.....! daaah.
Huko Korea Kaskazini kweli ni balaa, ila wa2 bado wanaacess net kimtindo-c unajua ujanja kaka; kila la heri on your asignment!
Damn..leo nimepata comments from people i used to admire times ago..na wewe ulipotelea wapi? au Aspirin na Sulpha zilikuzuia kufanya kazi effectively!?
Back to topic:
Nilitaka niwataje wote, wa kike na kiume, ila nilijua wengine ningewasahau..
However, isingelikuwa haki kama ningeacha kumtaja kipenzi changu cha roho...sabuni ya moyo, waridi la roho yangu...VIVIAN.
Na dada Asha is the only big sis I have..nilipofika hapo nikakumbuka wengine woooote..
Kina Babu Aspirin na Mzee Mwanakijiji,
Dada zangu; Lizzy, Blaki Woman, Zion Daughter, First lady, Rose1980, Ma'swagga, Lady N, Sweet lady, Regia, et al..
mama; FF,
shemeji Kaizer,
wagonjwa; Malaria sugu, Amoeba, Minyoo, et al
watani NN, Senator, Zumbemkuu, my best friends Kbd, King'asti, MTM, First Born, Gugwe, Babkey et al..
washkaji zangu kina The Boss, The Finest, SMU, Sulpha, TF, FT, BJ, Elli, Eiyer, Hashy, Memo, Tanmo, Lole, wa Ndima et al..
Wapendwa; Kerren Hapuch, et al
Wadau wa kuandika; Kiranga (naendelea kukuombea uokoke), Rev. Kishoka, Ulimakafu, Susuviri, Jasusi, Ben, Sizinga et al
Wabishi; Saint Ivuga (hons) et al
Watata; Tusker baridi, Steve Diii, Da womanizer, Maalim Jumar, Katavi, Chimunguru, Jeykey et al
Mswahili; X-paster
Wadau wa michezo; Rutashubanyuma, Balantanda, et al
Moderators; Paw, Snail, Invisible, et al...
Formsix leavers; Vanpopeye, Apolinary, et al..(msinichakachulie dada yangu mkikutana huko vyuoni)
Wa kwetu; Mamndenyi, Mkirua, et al
Entrepreneurs; LAT, NxtMillionaire, et al
Halafu kuna kina nyie; enzi nikijiunga hapa mlikuwa so active and i used to admire ur posts sana...
aisee ni wengi..siwezi kumaliza...kwa ujumla wote...