KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Sitozungumzia yaliyotokea huko nyuma lakini Uzi huu ubaki kumbukumbu ya rejea kwa vizazi vijavyo kwenye mambo yafuatayo kuhusu CCM:
1. CCM ni mfumo
2. CCM ni mfumo mkubwa kuliko mifumo watu
3. Umaarufu wa wanaCCM unajengwa na mfumo
4. Hakuna ndani ya CCM ambaye ni mkubwa kuliko mfumo
5. MwanaCCM akitoka ndani ya huu mfumo anatapatapa kama samaki anavyotoka nje ya maji.