Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UPANGAJI WA VIWANGO VYA ALAMA, MATUMIZI YA ALAMA ENDELEVU YA MWANAFUNZI NA UFAULU 1. UTANGULIZI Wizara imekusanya maoni ya Wadau wa Elimu kuhusu Upangaji wa Viwango vya Alama (Grade Ranges) katika Mitihani ya Kuhit imu Kidato cha Nne na cha Sita pamoja na Matumizi ya Alama za Tathmini Endelevu ya Mwanafunzi (Continuous Assessment ama CA ) kwa ajili ya kuamua kiwango cha ufaulu wa mwanafunzi. Maoni ya wadau yamekusanywa kwa sababu kwa muda mrefu sasa upangaji wa viwango vya alama vinavyotumika na utaratibu wake katika mitihani ya kuhitimu Kidato cha Nne na Kidato cha Sita umekuwa haufanani pamoja na kwamba mitihani hiyo yote ni ya elimu ya sekondari. Pia mfumo masuala mbalimbali ya mitihani katika elimu ya sekonda ri umekuwa na miundo tofauti ikiwemo ule unaotumika shuleni na ule wa Baraza la Mitihani la Taifa. Kwa sasa kuna miundo mikuu miwili katika mfumo huo. Muundo wa Kwanza ni upangaji wa viwango katika ngazi ya Shule ambapo Alama Mgando (Fixed Grade Ranges) zi fuatazo hutumika kupanga madaraja: A = 81 100; B = 6180; C = 4160; D = 2140 na F = 0 20. Muundo huu umetumika kwa muda mrefu na umezoeleka kwa walimu na wanafunzi wa elimu ya sekondari kwa ujumla. Muundo wa Pili ni wa viwango vinavyotumiwa na mwaka 2012 muundo wa viwango nyumbufu ( Baraza la Mitihani la Taifa ambapo ambapo kabla ya flexible grade ranges ) ulitumika. Katika muundo huu uwigo wa alama ulibadilika badilika kulingana na hali ya matokeo ilivyokuwa kwa mwaka husika. Lakini kuanzia mwaka 2012, Serikali iliamua kutumia mfumo wa Upangaji wa Alama Mgando (Fixed Grade Range) kwa Kidato cha Nne na Kidato cha Sita. Katika mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2012 Baraza lilitumia mfumo huu wa alama mgando ambapo: A = 80100, B = 6579, C = 50 upande wa Kidato cha Sita Baraza lilitumia mfumo wa A = 80 64, D = 35 100; B = 75- 49, F = 0 79; C = 65 34. Kwa 74; D = 55 = 4554; S = 4044 na F = 0 64; E 39. Mifumo hii ya Baraza haikuwa inafahamika kwa wadau na hivyo kuwaPoole hio mlitumia shuleni kwenu a.k.a xul za vichochoroni uo mfumo haukuwahi kutumiwa kwa mwaka jana wala juzi ,,,,uliletwa lakini haukutumika baadhi ya school tu ndo wanaoutumia mfano mzumbe pale na same boys kuanzia mwaka huu ila sio nectawise sorry
Acha kutoa povu kama nguchiro, toa no# yako ya mtihani tu-update kwa grade za sasa NECTA uone kama hautaenda kuanza upya QT.
utafananishaje waliomaliza 2012 kurudi nyuma na nyinyi brn?
hivi unajua kwanini wizara ikachukua div4 ya pt 27&26 kwa wale wa 2012 kushuka chini na div3 pekee kwa nyinyi nguchiro wa brn ktk ualimu mwaka huu?chunguza alf uje nyooooooooo usishushe hadhi div1 yangu ya 2007 mie
hamna kitu sisi watoto wa sasahv ni vilaza uchakachuaji mwingi ,serikali imefanya kukwepa aibu ya utumbo wa watoto waliochora mazombi form 4 na huwezi fananisha na enzi zile za mababa zetu over!!
1st of all let me thank wote waliotusupport form 6 wa 2014 katka matokeo yetu...honestly nawashangaa wote wanaodai kuwa matokeo yetu yamechakachuliwa and making us to look like we never did anythng inorder to for to get what we got...but the truth is that hamna mwaka ambao form 6 Wake wamehustle kama huu...why am i saying so...kwasababu katika huu mwaka mmoja tumewez kubadilishwa grade mbili kwa mpgo ambapo no one was sure of which grade were going to be use until we were near to necta...tulianza kwa kutangaziwa grade za ndalichako ambazo A was starting from 81 ambpo people ili bidi tuanze kujipanga kwa kutumia those grade ambapo in most of the schools zilitumika hadi in our
Sina haja ya kukupa kwa sababu nilishafaulu nipo chuo kikubwa kama unakuja udsm nipo college of natural and applied science(CoNaS) nipime nikupe namba yng ya cm
Acha kutoa povu kama nguchiro, toa no# yako ya mtihani tu-update kwa grade za sasa NECTA uone kama hautaenda kuanza upya QT.
Dogo inaonekana umevurugwa kumbe hata kwa wale 4000 wenye div1 haumo umeishia div2 basi ingekuwa mwaka jana wewe ulikuwa na div3
Haujiulizi kwanini TCU wana update matokeo ya mwaka huu kwa mfumo wa nyuma?
Haujiulizi kwanini TCU wana update matokeo ya mwaka huu kwa mfumo wa nyuma?
Dogo inaonekana huwez kujenga hoja mpaka unatumia maneno makali punguwan neno la kawaida kweli kwa sabab ss tumepta jkt tumetukanwa kila aina ya tusi so usijali hilo nalo ni tatizo lako
yaah swali nzuri? tunasubiri majibu yao