Huu mradi unanishawishi kuwekeza. Ninapenda saba ufugaji wa kuku. Baba yangu mzazi nae anafuga kuku wa kienyeji na kizungu. Je ntapata wapi huduma zao hao kuku poa na kama una namba za simu nisaidie. Tupige kazi umasikin utuishe watanzania. Tusaidiane kuinua uchumi wetu