Naweza fanya biashara gani maeneo ya shule?

Shukrani mkuu! But duka si ndo mpaka nipate jengo?? Hakuna sehemu iliyo wazi ya kufanyia hivyo
Kibanda cha chuma kama vile vya tigo pesa wanavyochomelea
 
Hapo sawa mkuu, asante sana
Achana na mawazo ya vitumbua mara maandazi waza tofauti kidogo hicho kibanda chako kiwe cha kubebeka yaa hata likitokea lolote unaweza kukihamisha pembeni maana hizo biashara huwa zinaathiriwa na maamuzi ya uongozi shule au chuki za walimu pia unaweza ukawa unatengeneza dagaa za type mbali mbali kwa kuzikaanga then unaweka kwenye package za nyloni unauza kwa ajili ya kulia ugali pia weka na mango piko hizo ni chachandu kwa siku ya ratiba ya ugali utawateka balaa NB;UKIPATA FAIDA USISAHÀU KUNIRUSHIA ELF 2 YA VOCHA
 
Picha ya shule??[emoji15] [emoji15]

No picha zao mkuu,ilikuwepo zamani kwenye boarding school sasa siku hizi kuna smati foni,may be is not good idea after all
 
Asante sana mku, wazo lako limenibamba vilivyo! Yaan umenifikisha haswaaa!

Usijali mkuu nitakupa mrejesho!
 
Jaribu na udongo pemba una faida nzuri.
 
Uza mihogo,viazi vya kukaanga na juice

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…