HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,431
- 925
ahahahhaaaaa umeua!!!!!!!!!Picha ya shule??[emoji15] [emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahahhaaaaa umeua!!!!!!!!!Picha ya shule??[emoji15] [emoji15]
Kibanda cha chuma kama vile vya tigo pesa wanavyochomeleaShukrani mkuu! But duka si ndo mpaka nipate jengo?? Hakuna sehemu iliyo wazi ya kufanyia hivyo
Achana na mawazo ya vitumbua mara maandazi waza tofauti kidogo hicho kibanda chako kiwe cha kubebeka yaa hata likitokea lolote unaweza kukihamisha pembeni maana hizo biashara huwa zinaathiriwa na maamuzi ya uongozi shule au chuki za walimu pia unaweza ukawa unatengeneza dagaa za type mbali mbali kwa kuzikaanga then unaweka kwenye package za nyloni unauza kwa ajili ya kulia ugali pia weka na mango piko hizo ni chachandu kwa siku ya ratiba ya ugali utawateka balaa NB;UKIPATA FAIDA USISAHÀU KUNIRUSHIA ELF 2 YA VOCHAHapo sawa mkuu, asante sana
Picha ya shule??[emoji15] [emoji15]
Asante sana mku, wazo lako limenibamba vilivyo! Yaan umenifikisha haswaaa!Achana na mawazo ya vitumbua mara maandazi waza tofauti kidogo hicho kibanda chako kiwe cha kubebeka yaa hata likitokea lolote unaweza kukihamisha pembeni maana hizo biashara huwa zinaathiriwa na maamuzi ya uongozi shule au chuki za walimu pia unaweza ukawa unatengeneza dagaa za type mbali mbali kwa kuzikaanga then unaweka kwenye package za nyloni unauza kwa ajili ya kulia ugali pia weka na mango piko hizo ni chachandu kwa siku ya ratiba ya ugali utawateka balaa NB;UKIPATA FAIDA USISAHÀU KUNIRUSHIA ELF 2 YA VOCHA
Ok mkuuAsante sana mku, wazo lako limenibamba vilivyo! Yaan umenifikisha haswaaa!
Usijali mkuu nitakupa mrejesho!
Kama hawasuki nywele nunua pia mashine ya kunyolea na cable ndefu ya umeme waombe waalimu waongeze mikwara kwa wenye nywele ndefu utajaa hela. kichwa buku moja.Uza tambi na crips
Alpela ndio ikoje hii?pamoja sana,kuna kitu kinaitwa alpela hawa viumbe wanaipenda sana japo kidogo ni gharama