mishe bwoy
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 116
- 34
salam kwen wakubwa mimi kwa sasa nipo form six hapa moshi technical natarajia kumaliza mwezi wa tano mwishoni mwaka huu..But kuna hili sual la kwena jkt kwa kweli sipo tayari coz nina mambo yangu nataka niyafanye kabla sijaenda chuo...kuna uwezekano wa mimi kuahirisha nije kwenda hata nikishamaliza Chuo? na nisipoenda nin effect yake?
Mafunzo ya JKT yamesitishwa!!!
mafunzo hayajasitishwa
sijaona umuhimu wa kwenda huko,
Acha uwoga kijana nenda jkt we ni wa kiume utakuwa baba wa namna gani kama unaogopa kupambana ?
sijaona umuhimu wa kwenda huko,
Mmh mi mwenyewe mtechnical mwenzio hapa cna mpango wa kwenda kabisa bora nikapige mishe zangu kwa hiyo miezi mitano #SALUM