Naweza kuahirisha kwenda JKT baada ya kumaliza fom 6 mwaka huu?

Naweza kuahirisha kwenda JKT baada ya kumaliza fom 6 mwaka huu?

mishe bwoy

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
116
Reaction score
34
Salam kwenu wakubwa!

Mimi kwa sasa nipo form six hapa Moshi Technical natarajia kumaliza mwezi wa tano mwishoni mwaka huu, But kuna hili suala la kwenda JKT kwa kweli sipo tayari coz nina mambo yangu nataka niyafanye kabla sijaenda chuo

Kuna uwezekano wa mimi kuahirisha nije kwenda hata nikishamaliza Chuo?

Na nisipoenda nini effect yake?
 
Sio lazima.
Maana sijaona ambao hawajaenda wamefanywa chochote kile
 
salam kwen wakubwa mimi kwa sasa nipo form six hapa moshi technical natarajia kumaliza mwezi wa tano mwishoni mwaka huu..But kuna hili sual la kwena jkt kwa kweli sipo tayari coz nina mambo yangu nataka niyafanye kabla sijaenda chuo...kuna uwezekano wa mimi kuahirisha nije kwenda hata nikishamaliza Chuo? na nisipoenda nin effect yake?


Mafunzo ya JKT yamesitishwa!!!
 
Mkuu kama una mambo muhimu ya kufanya ni bora uyafanye tuu kwani kule ni kupoteza muda.
 
bora ufanye mambo yako kuliko jkt
wastage of time
 
Sijui kama hio program itakuwepo kama itakuwepo nenda kapige Kwata dogo uone maisha ya adventure!!!
 
Mmh mi mwenyewe mtechnical mwenzio hapa cna mpango wa kwenda kabisa bora nikapige mishe zangu kwa hiyo miezi mitano #SALUM
 
Acha uwoga kijana nenda jkt we ni wa kiume utakuwa baba wa namna gani kama unaogopa kupambana ?

Acha kukariri ww mjini akili nguvu peleka kijijini nani kakuambia baba zetu wote wamepita jkt??
Mbna wengi tu hawakuenda huko na wanahudumia familia zao vizuri tu???
Mimi nimehitimu chuo mwaka jana na kama wangesema tuende wangeisoma namba nikapigishwe kwata uko kisa nini?? Sioni faida yake zaidi ya kuaandaa wahalifu tu mitaaani!!!
We kama.ukimaliza form.6 tafuta tempo fanya ingiza kipato achana na mambo ya jkt ni ipotevu wa mda tu unless upo interested na mambo ya jeshini!!!
Hao waliotoka mwaka jana wengi tu walikacha kwenda na hawajafanywa lolote!!!
 
Mmh mi mwenyewe mtechnical mwenzio hapa cna mpango wa kwenda kabisa bora nikapige mishe zangu kwa hiyo miezi mitano #SALUM

Bora umeshtuka mapemaa!!piga pepa maliza ....piga mishe zako,skiliziaa tokeo achana na hui upuuzi!!!Yani haina faidaa yyt utateseka bure tu kule!!!
 
Back
Top Bottom