Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Niliomba tcu kama form six leaver, ila nilisha soma diploma ya uwalimu, je naweza omba tena ila kama diploma holder?
Nyoosha maelezo.
Niliomba TCU kama form six leaver, ila nilisha soma diploma ya uwalimu, je naweza omba tena ila kama diploma holder?
Si unaruhusa ya kufanya mabadililko ikiwa tu deadline haijafika?au hii ni ruhusa ktka uombaji wa course tu na vyuo!Ningekuwa wewe kwa ufaulu huo ningeomba kama mhitimu wa diploma yaani ningebadili tu.Niliomba TCU kama form six leaver, ila nilisha soma diploma ya uwalimu, je naweza omba tena ila kama diploma holder?