Naweza kubadili maombi TCU, badala ya kujaza kama six, niandike kama diploma holder?

Naweza kubadili maombi TCU, badala ya kujaza kama six, niandike kama diploma holder?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,629
Niliomba TCU kama form six leaver, ila nilisha soma diploma ya uwalimu, je naweza omba tena ila kama diploma holder?
 
Niliomba tcu kama form six leaver, ila nilisha soma diploma ya uwalimu, je naweza omba tena ila kama diploma holder?

Mkuu ulirisit au inakuwaje hapo?nijuavyo mim we ulienda diploma kisa tokeo la f6 halikuruhusu uende degree direct
 
niliomba mara ya knz ktk option f6 applcnts...ila leo nka cheki TCU guidbk,mst ya kozi nl zo omba zna favr wny dip
 
nina dip ya ualim,ila nlpo apply tcu,cku apply kama dip bali km f6,je naweza yatengua?n apply tena ,ila kama diploma?
 
nsngeweza pata mkopo kama nnge enda direct kusoma degree...

nlmalza 2008 lindi seco...

history=d

eng=s

geo=e

gs=s
 
Inawezekana aliyesomo dip kuomba degree kwa cheti cha form six. Mi nimesoma dip ya ualimu,ila si kwamba cheti hakikuniruhusu kusoma degree ila kuna sababu nyingi za kushindwa japo hata hiyo ni moja wapo. Ninachokushauri kama una Pesa omba upya kwa dip

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Niliomba TCU kama form six leaver, ila nilisha soma diploma ya uwalimu, je naweza omba tena ila kama diploma holder?

Kwanini ulifanya maamuzi ya kuomba kama 6 leaver? na kila kitu kimewekwa bayana ktk website ya TCU na ktk guide book yao?
Hapo itabidi usuburi mwakani tena.pole
 
mim nimeomba kwa diploma,ila nimetaka kuomba tena kwa f6 ila wadau wamenishaur niache kwa vile ntaonekana kama mdanganyifu kwahiyo nasubir litakalo kuwa na liwe competion ni kali mno!,hivyo nakushaur vuta subira na muombe Mungu fanikio lipo
 
Niliomba TCU kama form six leaver, ila nilisha soma diploma ya uwalimu, je naweza omba tena ila kama diploma holder?
Si unaruhusa ya kufanya mabadililko ikiwa tu deadline haijafika?au hii ni ruhusa ktka uombaji wa course tu na vyuo!Ningekuwa wewe kwa ufaulu huo ningeomba kama mhitimu wa diploma yaani ningebadili tu.
 
Back
Top Bottom