Naweza kuchaguliwa kozi ya tano niliyoomba?

Naweza kuchaguliwa kozi ya tano niliyoomba?

Joined
Sep 16, 2014
Posts
48
Reaction score
5
niliomba vyuo vinne kozi nizipendazo na cha tano nikawe koz ambayo siitak kwa sababu sikupenda kuomba chuo cha binafsi je, naweza kukuta nachaguliwa koz ya tano na kuachwa hizo za mwanzo?
 
Sio waweza kuchaguliwa chuo hicho jiandae kwenda haswa icho chuo
 
Kijana usiwe na hofu,kama pass zako zinaruhusu kidogo basi huwezi kufika kote huko mpaka ya tano
 
Hahaha,nyinyi watu mtakuja kuuwa wenzenu kwa pressure

Nafkiri n vizur kujua mapema asilimia 99% ya watu wanaoingiza vyuo vya private huchaguliwa huko japo asilimia 1% ipo ( sala muhmu zaweza kukusaidia)
 
hahahaaaa utasoma kitu usichokipenda walai
 
dah pole xana yan bila ubixh unaenda cha tano!mfan mzur bro angu amechagua udsm,duce,udom,saut na ifm akaweka mwixho na tax managment kama kujaza vyumba tokeo linatoka anaenda ifm wkt hakufkria
 
pole,hila nahic next time utakuwa serious na mmb muhimu sana katika maisha yako.
 
dah pole xana yan bila ubixh unaenda cha tano!mfan mzur bro angu amechagua udsm,duce,udom,saut na ifm akaweka mwixho na tax managment kama kujaza vyumba tokeo linatoka anaenda ifm wkt hakufkria

Bro wako namjua mkuu? Hope yupo Mbeya.
 
niliomba vyuo vinne kozi nizipendazo na cha tano nikawe koz ambayo siitak kwa sababu sikupenda kuomba chuo cha binafsi je, naweza kukuta nachaguliwa koz ya tano na kuachwa hizo za mwanzo?

mimi pia yamenikuta hayo hayo sasa ivi njutia kwanini nlikiweka icho chuo cha tano na ndicho nlicho pangiwa ......
 
sasa km PCM ulipata div2 mbovu unataka uende wapi???? afu ninachoshangaaa yani wale wenye ufaulu mbovu eti wanataka vyuo vizuri..
 
tukiambiana hapa kila mtu aweke matokeo yake utashangaa hawa wanaojitapa ndo last ranking
 
Nimetumiwa email kutoka chuoni imeambatanishwa name join instruction and fees structure
 
Back
Top Bottom