symphorianicky
Member
- Sep 16, 2014
- 48
- 5
niliomba vyuo vinne kozi nizipendazo na cha tano nikawe koz ambayo siitak kwa sababu sikupenda kuomba chuo cha binafsi je, naweza kukuta nachaguliwa koz ya tano na kuachwa hizo za mwanzo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio waweza kuchaguliwa chuo hicho jiandae kwenda haswa icho chuo
Hahaha,nyinyi watu mtakuja kuuwa wenzenu kwa pressure
dah pole xana yan bila ubixh unaenda cha tano!mfan mzur bro angu amechagua udsm,duce,udom,saut na ifm akaweka mwixho na tax managment kama kujaza vyumba tokeo linatoka anaenda ifm wkt hakufkria
niliomba vyuo vinne kozi nizipendazo na cha tano nikawe koz ambayo siitak kwa sababu sikupenda kuomba chuo cha binafsi je, naweza kukuta nachaguliwa koz ya tano na kuachwa hizo za mwanzo?
Mi nimejaza vitano ila nimechaguliwa cha nne
Nimetumiwa email kutoka chuoni imeambatanishwa name join instruction and fees structure