Naweza kuchaguliwa kozi ya tano niliyoomba?

Naweza kuchaguliwa kozi ya tano niliyoomba?

dah pole xana yan bila ubixh unaenda cha tano!mfan mzur bro angu amechagua udsm,duce,udom,saut na ifm akaweka mwixho na tax managment kama kujaza vyumba tokeo linatoka anaenda ifm wkt hakufkria
ww kla k2 bro wang iv una mabro wangap
 
Heri uchaguliwe kozi mbovu lakini chuo kizuri kuliko kuchaguliwa kozi nzuri alafu chuo kibovu, Mfano sociology ya UDSM ni sawa na Civil Engeneering ya St.Joseph.
 
niliomba vyuo vinne kozi nizipendazo na cha tano nikawe koz ambayo siitak kwa sababu sikupenda kuomba chuo cha binafsi je, naweza kukuta nachaguliwa koz ya tano na kuachwa hizo za mwanzo?

Nakumbuka mwaka wetu mi nilichaguliwa koz ya mwisho kabisa nikapelekwa pale UDOM
 
Heri uchaguliwe kozi mbovu lakini chuo kizuri kuliko kuchaguliwa kozi nzuri alafu chuo kibovu, Mfano sociology ya UDSM ni sawa na Civil Engeneering ya St.Joseph.

dogo unajitahidi kutaka kupata publicity humu.............by the way punguza dharau
 
sasa km PCM ulipata div2 mbovu unataka uende wapi???? afu ninachoshangaaa yani wale wenye ufaulu mbovu eti wanataka vyuo vizuri..

Naomba unitajie vyuo vizuri na vibaya mkuu......
 
kwanini isiwezekane? Cozi nne za juu utakua umequalify lakini competition ikakutupa naio chaguo la tano unakuta ndo imekuokoa usiende 2nd round...
 
dah pole xana yan bila ubixh unaenda cha tano!mfan mzur bro angu amechagua udsm,duce,udom,saut na ifm akaweka mwixho na tax managment kama kujaza vyumba tokeo linatoka anaenda ifm wkt hakufkria[/QUOTE
Mkuu swahaba sultan naomba kukusahihisha spelling ulizosahau kuweka X.
UDSM -UDXM
SAUT-XAUT
Ni hayo tu msomi na usisahau kumuomba Invisible afanye editing ya username yako ili iwe xwahaba xultan.
 
Last edited by a moderator:

Ni hayo tu msomi na usisahau kumuomba Invisible afanye editing ya username yako ili iwe xwahaba xultan na sio [MENTION=247149]swah

mkuu umenivunja mbavu mimi looo JF raha
 
Last edited by a moderator:
dah pole xana yan bila ubixh unaenda cha tano!mfan mzur bro angu amechagua udsm,duce,udom,saut na ifm akaweka mwixho na tax managment kama kujaza vyumba tokeo linatoka anaenda ifm wkt hakufkria[/QUOTE
Mkuu swahaba sultan naomba kukusahihisha spelling ulizosahau kuweka X.
UDSM -UDXM
SAUT-XAUT
Ni hayo tu msomi na usisahau kumuomba Invisible afanye editing ya username yako ili iwe xwahaba xultan.

vzr,bt refer coment yng kuw cktetea x wala s nlchoxem we uk2mia x na ye anae2mia s n xawa cha msing ujumbe ufike,jarbu kuwa na kumbukumb mkuu!datz all over
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom