Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
According to uzoefu wanguWakuu hvi mtu anaweza kuniingizia pesa kupitia Akaunti hzi za bank akiwa nje ya nchi mfano Australia au England mimi nina Equity bank na kadi ni Visa
Yap kwa kutumia Cryptocurrency, Ingia hapa www.onecoin.eu.Wakuu hvi mtu anaweza kuniingizia pesa kupitia Akaunti hzi za bank akiwa nje ya nchi mfano Australia au England mimi nina Equity bank na kadi ni Visa
Swift code ni zipi hapa ktk card ya bankInawezekana mkuu...Cha kufanya uwe na bank details na account name, account number na swift code ya bank hela zinafika mkuu bila shida.
Mbona mtu akiagiza bidhaa kama gari analipia hapa hapa nchini na hela inafika. Ni vivyo hivyo
Nenda bank ndio watakupa mkuu. Haziko kwenye kadi yakoSwift code ni zipi hapa ktk card ya bank