Naweza kuendelea kutumia akaunti ya Benki ya CRDB niliyositisha matumizi yake kwa miaka minne?

Nenda tawi lolote kuna form watakupatia ujaze kufufua account
 
Nenda benki kuna fomu utaijaza na utalipia kiasi kidogo cha fedha kwaajili ya kuihuisha.
 
kwamba taarifa zako zipitiwe upya urudi kazini au upewe marupurupu yako
He he heee! Umejuaje? Wazee wa Uhujumu Uchumi wanarudi ulingoni kwenye posti zilezile na Ofisi zilezile!
Ole wenu mliosherehekea! Picha zote za Video tunazo. Kaeni mkao wa kuomba kustaafu kwa hiari! Kama hujafikisha 55 imekula kwako!
 
ahahahaaa nilikwepo mzee sasa kwa taarifa me ndo nayeshughulikia hiyo ishu yako
 
Back
Top Bottom