Ndo nawaza hivyo maana sikutumia account kwa muda wa miaka 6Achana nayo fungua nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nawaza hivyo maana sikutumia account kwa muda wa miaka 6Achana nayo fungua nyingine
Nina Account yangu sijaitumia sasa huu mwaka wa nne. Tafadhali, nifanyeje ili nianze kuitumia?
CRDB mwisho ni miaka mitatu tu. Hivyo kafungue account nyingine
Yes itakurahisishia kupata kadi yako kwa urahisi zaidi ingawaje hata huko kwengine utaipata kadi yako.Hivi kuna ulazima uende kwenye lile tawi ulilofungulia account mwanzo?
Waombe wakubadilishie!Mie nilikua sijaitumia miaka zaidi ya 10 last year nimerudi kuirudisha sbb nilikua na biashara so walotaka kunilipa ilikua lazima niwe na crdb ..
Bs nikaenda nikaambiwa nitaje jina langu account nikarudishiwa just like that[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka sasa naitumia niliifungua 2000 jamani nimetizama ile picha nilowekwa pale mie mwenyewe nimejisahau[emoji23][emoji23]