Stevenbee
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 365
- 449
Huwa nafanya Graphics lakini natumia simu na nishafanya na watu baadhi hususani wanaotengeneza products kama mafuta,unga lishe, album cover na vingine. Lakini kitu ambacho huwa nashindwa niombe Ajira vipi? Kwasababu
1) Sijasomea hii issue
2) Natumia mobile apps kufanya Hizo graphics Kama Pixellab, PicsArt , Snapseed
Je, naweza pata kazi kweli?
Huwa naona sipo competent ingawa kupitHizhizo mobile apps nafanya graphics kama Hizhizo za kwenye computer ingawa haiwezi kuwa 100%