Namaanisha kwamba sijiamini kuwa natumia simu sio computer,ila nakiamini ninachokifanya mkuuHuwezi pata kazi mzee maana kama wewe hujiamini nani atakuamini sasa?
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Ukipata ujuzi njoo tupige kaziAsante mkuu,nitafanyia kazi hilo
CartoonMkuu samahan unamaanisha graphics motion za matangazo ya biashara au product au animation kwa ajiri ya cartoon? Au vyote
Ok, Ujaribu kutengeneza stori ya kiswahili kwa kutumia cartoon, 2D utanitumia inboxSawa mkuu ntakupa mrejesho asante
Jaribu kutuma baadhi ya kazi zakoHapana mkuu,natumia mobile apps pekee kama nilivoainisha hapo juu.
Weka sample ya kazi zako hata tutoe tathiminiHapana mkuu,natumia mobile apps pekee kama nilivoainisha hapo juu.